TANZIA
Kwa niaba ya Familia ya Mama Salma Rashid-Kikwete na Dr. Jakaya Kikwete, naomba kutoa taarifa kuwa Mama Salma Rashid Kikwete (pichani) amefiwa na Baba yake Mzazi Mzee Rashid Mkwachu. Shughuli za Mazishi zitakuwa Msasani,Nyumbani kwa Mama na Dr.Jakaya Kikwete.Mazishi yatafanyika katika Makaburi ya Kisutu Saa Kumi Jioni, Baada ya Sala ya Alasiri.Kwa niaba ya Familia
Ridhiwani Kikwete.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇