LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 26, 2018

RAIS DK SHEIN AREJEA NYUMBANI KUTOKA SAFARI YA UINGEREZA, LEO


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudh wakati wa mapokezi  mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea Nchini Uingereza katika safari  maalum,



No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages