LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 26, 2018

RAIS DK. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA MPANGO WA CHAKULA DUNIANI (WFP) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dkt. John Magufulia kimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa
 Shirika la Mpango wa Chakula Duniani World Food Programme (WFP) David Beasley zawadi ya Picha ya moja ya mbuga za wanyama zilizopo nchini pamoja na kinyago cha mpingo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Rais Dk. John Magufulia kimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa 
 Shirika la Mpango wa Chakula Duniani World Food Programme (WFP) David Beasley zawadi ya Picha ya moja ya mbuga za wanyama zilizopo nchini pamoja na kinyago cha mpingo mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la (WFP) nchini Michael Dunford 
Rais Dk. John Magufuli akiagananaMkurugenziwakandawa (WFP)  Lola Castro  baada ya mazungumzo hayo
Rais Dk John Magufuli akiwa katika mazungumzo ya hapa na pale na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani World Food Programme (WFP) David Beasley pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika  MasharikiBalozi Dkt. Agustine Mahiga
Rais Dkt. John Magufuli akiwa katika picha ya pamo jana Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mpangowa Chakula Duniani World Food Programme (WFP) David Beasley (wanne kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine ni Waziri wa Mambo ya Njena Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Agustine Mahiga,Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Omary Mgumba, Balozi Zuhura Bundala na Mkurugenzi wa kanda wa (WFP)  Bi. Lola Castro pamoja na Mwakilishi  Mkazi wa  WFP nchini Michael Dunford. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages