LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 19, 2018

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDD AFUNGA MKUTANO WA KODUNIA WA VYAMA VYA SIASA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seifu Ali Idd akizungumza wakati akifunga Jana, Mkutano wa Kidunia wa Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili na kuhusisha Vyama takribani 40 kutoka Nchi 38 Duniani. ‬

‪Mkutano huo uliofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg John Pombe Magufuli.
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally akizungumza katika ufungaji wa mkutano huo
Karibu wa NEC Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza wakati wa ufungaji wa mkutano huo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seifu Ali Idd akiwa na  Makamu Mwenyerkiti wa CCM Bars Philip Mangula na Karibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ally wakiwa kwenye mkutano huo kabla ya kumalizika Jana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages