LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 19, 2018

MKUU WA IDARA YA UHUSIANO WA KIMATAIFA WA CHAMA CHA CPC CHA CHINA, WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HIYO SONG TAO AZURU MAKABURI YA WACHINA WALIOF8A TANZANIA WAKATI WA UJENZI WA RELI YA TAZARA

Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya China Comred Song Tao leo ametembelea na kuweka mashada ya maua kwenye Makaburi ya Raia  wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) pamoja na kutembelea Makao Makuu ya Reli ya hiyo Jjiini Dar es Salaam akiongozwa na Wenyeji wake Naibu  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg Rodrick Mpogolo, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheri Denis James (MCC) na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Mwl Raymond Mwangwala.

Imetolewa na:
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi - UVCCM Taifa

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages