LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 19, 2018

MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumwombea Rais wa Awamu ya Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil kwenye kaburi la Rais huyo enero la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Sira Ubwa  Mwamboya, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja , Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,  Hassan Khatib Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mohammed Abdulwakil ambaye ni Kaka wa Rais  wa Awamu ya Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil  Wakati  alipozulu kaburi la Rais huyo, eneo la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria katika Sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika  Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages