LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 17, 2017

VIDEO: BUNGE LA WATOTO LILIVYOTIA FORA MKOANI MWANZA

Jana juni 16,2017 Mataifa mbalimbali Barani Afrika yaliungana kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Mkoani Mwanza, Maadhimisho hayo yalifanyika Uwanja wa Furahisha kwa kujumuisha matukio mbalimbali ya watoto. Wengi walivutiwa na kipengere cha bunge la Watoto mkoani Mwanza kwenye maadhimisho hayo yaliyokuwa na kaulimbiu ya "Maendeleo Endelevu 2030: Imarisha Ulinzi na Fursa Sawa kwa Watoto. TAZAMA VIDEO IFUATAYO;-

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages