Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameishauri serikali bungeni Dodoma Aprili 24, 2025, kuviboresha au kuvinyang'anya viwanda vitano vya chai vilivyodorora mkoani Njombe.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRIBLOG YA TAIFA YA CCM0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇