Mbunge wa Nyang'wale, Nassor Amar ameihoji Serikali bungeni Dodoma leo Aprili 24, 2025, kwamba ina mpango gani wa kujenga soko la kisasa katika Mji wa Kalumwa ambao ni Makao Makuu ya wilaya Nyang'wale?IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇