Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (CCM) (MNEC) Bi. Khadija Hassan Aboud pamoja na viongozi mbali mbali wa UWT Mkoa wa Mjini Zanzibar mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” akiwahutubia mamia ya wanachama na viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja, mara baada ya kufungua mafunzo ya Wanawake na Uongozi katika siasa huko Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini, Waridi Juma Othman akizungumza na viongozi na wanachama hao kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi afungue mafunzo hayo Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja.
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (CCM) (MNEC) Khadija Hassan Aboud akitoa maneno ya shukrani kwa mgeni rasmi Dkt. Abdulla Juma Saadalla “ Mabodi” kabla ya kuanza mafunzo hayo.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mjini, Waridi Juma Othman akizungumza na viongozi na wanachama hao kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi afungue mafunzo hayo Ukumbi wa Mikutano wa Mkoa wa Mjini CCM uliopo Amani Unguja.
Mkufunzi wa Mafunzo hayo Emiley Nelson Fwambo akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Wanawake na Uongozi katika siasa.
baadhi ya Viongozi na wanachama wa UWT walioudhuria katika mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini nasaha za mgeni rasmi Dkt. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” wakati akizungumza mara baada ya kufungua mafunzo hayo.( PICHA NA AFISI KUU ZANZIBAR).
Your Ad Spot
Jun 18, 2017
Home
Unlabelled
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIASA NA UONGOZI KWA KINA MAMA WA UWT
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA SIASA NA UONGOZI KWA KINA MAMA WA UWT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇