Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala
Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam .Bwana Zhang
alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya
Tano
(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.John Pombe Magufuli
akipiga picha na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama
Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam .Bwana
Zhang alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa
Awamu ya Tano kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania Mh. Lu Youqing na kushoto ni Mh.Balozi Abdulrahman Shimbo Balozi wa Tanzania nchini China
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping, Ikulu jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇