Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John
Pombe Magufuli, akimwapisha George Masaju, kuwa Mwanasheria Mkuu wa
Serikali,wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Okt. 6, 2015. Picha na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John
Pombe Magufuli, akisalimina na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati
aliwapowasili kwenye Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam,leo asubuhi Okt. 6,
2015 kwa ajili ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju,
aliyemteua jana Okt 5, 2015 mara tu baada ya kuapishwa rasmi. Kushoto ni Jaji
Mkuu wa Tanzania, Othman Chande. Picha na OMRRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (wa tatu kushoto) akiwa na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kushoto) Spika wa Bunge Mstaafu, Anne Makinda (kushoto) Jaji Mkuu wa Serikali, Othman Chande (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, baada ya kuapishwa wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan,(kushoto) akizungumza jambo na Jaji Mkuu wa Serikali, Othman Chande (katikati) wakati wa hafla fupi ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Baadhi ya ndigu jamaa na marafiki na watumishi wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇