Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa
Mataifa, Bw.Mussa Juma Assad akizungumza wakati wa hitimisho la mkutano
wa siku mbili wa Bodi hiyo uliofanyika hapa Umoja wa Mataifa kuanzia Julai
22-23. Kushoto kwake ni Bw. Fransis Kitauli, Mkurugenzi wa Ukauzi wa Nje
na Mwenyekiti wa Kamati ya Operesheni za Ukaguzi ( AOC) Akiwa
Mwenyekiti wa AOC Bw. Kitauli ambaye alishika nafasi hiyo tangu mwaka 2012 amefanikisha utoaji wa ripoti za ukaguzi za Umoja wa
Mataifa kwa miaka mitatu mfululizo
Wajumbe wa Bodi ya Ukaguzi kutoka kushoto, Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya India, Bw. Shashi Kant Sharma,
Sir Amyas Morse, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu kutoka Serikali ya India
na Bw. Mussa Juma Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu kutoka Serikali ya
Tanzania wakitia saini zao katika ripoti 28 za ukaguzi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa zilizorejewa na kupitishwa na Bodi hiyo wakati wa mkutano wake
wa siku mbili. ripoti hizo ni matokeo ya kazi kubwa ya Bodi hiyo
Your Ad Spot
Jul 24, 2015
Home
Unlabelled
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI WA TANZANIA AONGOZA KIKAO CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI WA TANZANIA AONGOZA KIKAO CHA BODI YA UKAGUZI YA UMOJA WA MATAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇