Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibaigwa mkoani Dodoma akiwa njiani kuelekea Dar es salaam.
Wananchi wa Dumila wakifurahia ujio wa Dk.John Pombe Magufuli mgombea wa Urais kupitia CCM ambaye aliwasalimia kabla ya kuelekea Dar es Salaam.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wananchi wa Dumila akiwa njiani kuelekea Dar es salaam

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga mara baada ya kuwasalimia wananchi wa Dumila akiwa njiani kuelekea Dar es salaam

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wafanyabiashara ndogo ndogo wa Dumila njia panda ya Mvomelo akiwa njiani kuelekea Dar es salaam
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili Morogoro mjini.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akitoa ishara ya salaam na kushukuru kwa wakazi wa mji wa Morogoro.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimia wakazi wa mji wa Morogoro kabla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Morogoro mjini wakati akirejea Dar es Salaam akitokea Dodoma.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Morogoro mji waliojitokeza kumsalimu nje ya ofisi ya CCM mkoa.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Chalinze
Wananchi wa Chalinze wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli ambaye alikuwa niani kurejea jiji la Dar es Salaam akitokea Dodoma.
Mbunge wa Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati wa kumkaribisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Kiwangwa ,Chalinze wakati akirejea Dar es Salaam akitokea Dodoma.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇