Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi
wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda
kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi
Koenraad Adam wa Ubelgiji ikulu jijini Dar es Salaam leo alipokwenda kumuaga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na
Balozi wa Sweden nchini aliyemaliza muda wake Mhe.Lennarth Hjelmaker ikulu
jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)
Your Ad Spot
Jul 24, 2015
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AAGWA NA MABALOZI WA INDIA, UBELGIJI NA SWEDEN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS KIKWETE AAGWA NA MABALOZI WA INDIA, UBELGIJI NA SWEDEN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇