LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 11, 2015

UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO NA MALIASILI WAKUTANA NA RAIS DK.SHEIN.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza kikao cha Wizara ya Kilimo na Maliasili kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
 Waziri wa Kilimo na Maliasili Sira Ubwa Mamboya (katikati) akitoa taarifa ya utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi wakati wa kikao cha pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Katibu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto) Naibu Waziri Mtumwa Kheir Mbarouk,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Kilimo na Maliasili kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages