Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Othman Chande (mbele)
wakiongoza maandamano wakati wa kilele cha siku ya Sheria Zanzibar
sherehe zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini
Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Mahakimu na Wanasheria wakiwa katika maandamano wakati wa kilele cha siku ya Sheria Zanzibar sherehe zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar katika kilele cha siku ya Sheria Zanzibar(katikati) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Mahakama kuu Tanzania Shaaban Ally Lila (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Zanzibar katika kilele cha siku ya Sheria Zanzibar(katikati) Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa katiba na Sheria Abibakar Khamis Bakary wakiwa wamesimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Sheria zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu alipokuwa akisema machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ali azungumze na Wananchi, Mahakimu na Wanasheria katika sherehe za Kilele cha Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha kitabu cha Mwaka wa Sheria kama ishara ya uzinduzi wa kitabu hicho samba samba na maadhimishoya siku ya Sheria Zanzibar(kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary(wa pili kushoto) ,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipeana mkono na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu baada ya kikizindua kitabu cha Mwaka wa Sheria leo katika Sherehe za Siku ya Sheria zilizofanyika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Sheria sherehe zilizofanyika leo katika viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande (kushoto) na Waziri wa katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary.[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇