Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini
Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa
ajiliya mazungumzo.[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇