Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimsalimia Mbunge wa Arimeru Mashariki (Chadema) Joshua Nasari kabla ya mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na Simba, kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi. Yanga walilala kwa mabao 3-2 baada ya kupigiana mikwaju ya penati kufuatia timu hizo kushindwa kufungana katika dakika tisini za mchezo huo.
Kikosi cha wabunge wa Yanga
Kikosi cha Wabunge wa Simba
Benchi la Yanga
Wachezaji wa akiba wa timu ya wabunge mashabiki wa Yanga
Joshua Nassari wa timu ya wabunge mashabiki wa Simba (kushoto) akipambana na Michael Kadebe wa Yanga
Zitto Kabwe (kushoto) wa Simba akichuana na beki wa timu ya Wabunge wa Yanga, Michael Kadebe
Your Ad Spot
Jul 7, 2012
Home
Unlabelled
MPAMBANO WA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA LEO
MPAMBANO WA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇