Kituo Cha Mabasi cha Mjini Moshi kikiwa hakina mabasi kutokana na Mgomo wa madereva na wafanyakazi wa Mabasi hayo ambao walielekea ofisi za CCM kuomba wasaidiwe na kuamua kujiunga na Chama hiko. |
Umati mkubwa wa watu jana ulifurika kwenye ofisi za CCM Moshi mjini wakishinikiza wapatiwe kadi na bendera kwa walichodai kuchoshwa na maamuzi ya CHADEMA yanayowarudisha nyuma kiuchumi.
Source Mzalendo; Habari kamili BOFYA HAPA.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇