LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 7, 2012

MADAKTARI MGUU NDANI MGUU NJE

  • WATAKIWA KUJIELEZA NDANI YA SIKU SABA
  • WAHADHIRI MUHAS WAWATOLEA UVIVU
 Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi ya Madaktari waliogoma  katika  hospitali mbalimbali na ametakiwa kujieleza ni kwa nini wasichukuliwe hatua kwa kukiuka maadili ya taaluma.
 Madaktari watakaokumbana na kibano ni wale walio katika  mafunzo kwa vitendo , ambao walifukuzwa katika hospitali za serikali kwa kutakiwa kurudi wizarani,ambapo jana walipewa barua za kutakiwa kujieleza ndani ya siku saba.
 

CHANZO GAZETI LA UHURU LEO

1 comment:

  1. Nimefurahishwa na hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kwa kuweka wazi uwezo wa serikali kuhusu kuwalipa Madai yao sasa wana choice ya kufanya na hawana haja ya kugoma au kuandamana na hiyo ndiyo solution tuliyokua tukiingoja kwa muda mrefu

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages