Rais Dk. John Magufuli na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi na Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo, Machi 8, 2020 na kushuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba.
Rais Dk. John Magufuli na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume wakifuatilia kwa makini Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo, Machi 8, 2020 na kushuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba.
Rais Dk. John Magufuli (kulia) akiwa makini kufuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo, Machi 8, 2020 na kushuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba.
Shabiki wa Yanga na Bango la kumshukuru Rais Dk. Magufuli kufika kushuhudia mtanange huo
Mashabiki wa Yanga
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇