Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipunga mkono kuwaaga washiriki wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) baada ya kufungua mkutano huo kwa njia ya video kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2020. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mar 18, 2020
MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC KWA NJIA YA VIDEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇