Mar 1, 2020

MANCHESTER CITY YAIBUKA KIDEDEA CORABAO CUP KWA KUICHAPA ASTON VILLA 2-1


Dakika 90 za Mchezo  Kati ya Manchester City  na Aston Villa kwenye Uwanja wa Wembley  zimemalizika ....Manchester City Wamebeba Ubingwa wa Carabao Cup kwa msimu wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Aston Villa 2-1



Hata hivyo, Mtanzania Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuifunga goli Manchester City  na amekuwa mchezaji wa tano kutoka Bara la Afrika kufunga kwenye Kombe la Ligi, wengine ni Didier Drogba , Joseph-DĂ©sirĂ© Job, Obafemi Martins na Yaya TourĂ©.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages