Baadhi ya viongozi wa dini mkoani Songwe wakielezea kuhusu mafanikio makubwa yaliyofanywa kwa miaka minne na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hivyo kuwaomba wananchi kumpa ridhaaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano kwa kumchagua kwa kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ili afanye mambo mengine makubwa.
Viongozi hao wametoa maoni na ushauri wao huo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea wa kiti cha rais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Septemba 3, 2025 mjini Tunduma.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇