Saturday, November 7, 2015

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA TAWALA CHA CHINA


po2

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam .Bwana Zhang alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano
(picha na Freddy Maro). 

po3

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akipiga picha  na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam .Bwana Zhang alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano kulia ni Balozi wa China nchini Tanzania Mh.  Lu Youqing  na kushoto ni  Mh.Balozi  Abdulrahman Shimbo Balozi wa Tanzania nchini China

po4


Rais Dkt.John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping, Ikulu jijini Dar es Salaam
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.