LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 12, 2015

FOMU ZA USPIKA ZAENDELEA KUCHUKULIWA LEO

 Ndugu Julius Pawatila (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Ndugu Job Ndugai akijaza maelezo kwenye kitabu maalum cha kujisajili kabala ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib (kushoto)akimkabidhi fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbunge wa Jimbo la Kongwa Ndugu Job Ndugai.
 Ndugu Simon Rubugu (kulia) akirejesha fomu za kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib.
 Balozi Philip Marmo(kulia) akirejesha fomu za kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Balozi Philip Marmo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu ambapo aliwaambia kuwa amejipanga kuendesha bunge kisasa linaloendana na wakati na teknolojia.
Dr.Tulia Arkson (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Ndugu Watson Mwakalila (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Dr. Didas Masaburi (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
Mbunge wa Jimbo la Chato Medadi Majogolo Kalemani (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Ritta Mlaki akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib.(Picha na Bashir Nkoromo)
 Veraikunda Urio akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib (Picha na Bashir Nkoromo)

Haya ndio majina ya waliochukua fomu leo;

Balozi Philip Marmo
Ndugu Julius Pawatila
Ndugu Job Ndugai
Dk. Tulia Arkson
Dk. Medadi Majogolo Kalemani
Dk. Didas Masaburi
Ritta Mlaki
Veraikunda Urio 
Agnaes Festo Makune
Abdallah Ally Mwinyi
Chelestimo Simalimile Mofuga


 Kada wa wa CCM aliyewania Urais kupitia CCM, katika uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka huu, Leonce Mulenda, akirejesha fomu ya kuomba Uspika wa Bunge kwa Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhammed Seif Khatib leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.
 Aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi akirejesha fomu ya kuomba Uspika wa Bunge kwa Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhammed Seif Khatib leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.
 Kada wa CCM, ChelestinoMofuga, akirejesha fomu ya kuomba Uspika wa Bunge kwa Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhammed Seif Khatib leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.
 Kada wa CCM, Agnes Festo Makune, akirejesha fomu ya kuomba Uspika wa Bunge kwa Katibu wa NEC Oganaizesheni Muhammed Seif Khatib leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.
 Kada wa CCM, Agnes Makune (kulia) na Kada mwenzake wa CCM, Veraikunda Urio wakiwa bize kujaza fomu za kuomba Uspika kabla ya kuziwasilisha, leo katika Ofisi ndogo ya Makao Makauu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Veraikunda Urio akikabidhi fomu yake ya kuomba Uspika kwa Afisa wa Chama, Ashura Amanzi, baada ya kuijaza leo mchana, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
 Agness Makunde akikabidhi fomu yake ya kuomba Uspika kwa Afisa wa Chama, Ashura Amanzi, baada ya kuijaza leo mchana, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
 Aliyekuwa Mbunge wa Afrika Mashariki Abdallah Ally Mwinyi, akijaza fomu ya kuomba uspika, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

1 comment:

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages