Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM iliyofanyika leo tarehe 12 Novemba, 2015 chini ya
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete imemteua Ndugu Deogratius
Ngalawa kuwa mgombea wake wa Ubunge katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe.
Ndugu
Ngalawa ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kushinda kura za
maoni zilizofanyika Novemba 10, 2015.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇