Wednesday, November 19, 2014

WADAU WA FILAMU WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA HIYO

 Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa Bodi hiyo, Bw. Benson Mkenda.
 Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester Sengerema (kushoto) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mjumbe wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bw. John Lister.
 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bw. Simon Mwakifwamba akichangia mada katika mkutano uliohusu masuala ya tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bw. Deosonga Njelekela.
 Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bishop Hiluka akichangia mada katika mkutano uliohusu masuala ya tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi ya Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Wadau kutoka Bodi ya Filamu Tanzania pamoja na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) wakimsikiliza Katibu wa TAFF (hayupo pichani) wakati alipokuwa akichangia mada kuhusu masuala ya filamu nchini wakati wa mkutano uliofanyika katika Ofisi za Bodi ya Filamu jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO-DSM)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.