Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akivuta kitambaa pamoja na mgeni wake Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola kuashiria ufunguzi wa Barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, tarehe 30 Oktoba, 2026.
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe
pamoja na mgeni wake Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya
Angola kuashiria ufunguzi wa barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba
Jijini Dodoma, tarehe 30 Oktoba, 2026.
Sehemu ya Mji huo unavyoonekana kupitia angani.
.jpeg)



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇