LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 29, 2026

MWANYIKA 'AGEUKA MBOGO' BUNGENI KULEGALEGA KWA UJENZI WA BARABARA YA ITONI - LUSITU

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amezidi kuiulizia Serikali bungeni kuhusu kusuasua kwa ujenzi wa Barabara ya Itoni - Lusitu iliyopo Njombe na kuhoji ujenzi wake utakamilika lini?

Amehoji hilo alipouliza swali la nyongeza kwa Waziri wa Ujenzi Masanja Kadogosa Oktoba 28, 2026 bungeni Dodoma.

 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages