LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 16, 2026

CDE MKANDAWIRE AONGOZA KIKAO KAZI CHA SEKRETARIETI YA CCM MKOA NA MAKATIBU WA CCM WILAYA ZA MKOA WA DAR ES SALAAM, LEO

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam ndugu Stanley Mkandawire (MNEC) ameongoza kikao kazi cha Sekretarieti ya CCM mkoa pamoja na Makatibu wa CCM wa Wilaya za mkoa huo, kilichofanyika, leo, Oktoba 16, 2026.

Kikao hicho kilichofanyika katika Ofizi za CCM mkoa huo, kilijadili utekelezaji wa maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM kuhusu, mafunzo, Usajili wa wanachama, uanzishaji wa miradi ya kiuchumi, ukusanyaji wa madeni ya wapangaji  na utafutaji wa hati za ardhi

Akizungumza wakati wa kikao hicho Katibu Mkandawire amewasisistiza viongozi hao kufanya kazi kwa bidii na kutekeleza maelekezo ya Katibu Mkuu wa CCM kwani Chama kinahitaji wanachama wengi zaidi pamoja na kujijenga kiuchumi.

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam ndugu Stanley Mkandawire (MNEC) akiongoza kikao kazi cha Sekretarieti ya CCM mkoa pamoja na Makatibu wa CCM wa Wilaya za mkoa huo, kilichofanyika, leo, Oktoba 16, 2026.

Wajumbe wakimsikiliza Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es Salaam ndugu Stanley Mkandawire (MNEC) wakagi akiongoza kikao kazi cha Sekretarieti ya CCM mkoa pamoja na Makatibu wa CCM wa Wilaya za mkoa huo, kilichofanyika, leo, Oktoba 16, 2026.

KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages