Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa na
Viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji, wakishuhudia mwili wa Marehemu
Hafidh Ameir Hassan, ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ukiingizwa kaburini, wakati wa maziko
yaliyofanyika Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, leo tarehe 07 Septemba 2026.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akiweka
udongo katika kaburi la Marehemu Hafidh Ameir Hassan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akishiriki maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.,



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇