LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 29, 2026

NDEJEMBI AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS


Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishuhudia Mhe. George Mcheche Masaju, Jaji Mkuu wa Tanzania akimuapisha, Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 29 Agosti, 2026.


Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na viongozi mbalimbali kwenye hafla ya uapisho wa Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu ya Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026.








 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages