LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 24, 2026

MAKATIBU WAKUU WALIOIONGOZA CCM TANGU 1977 HAWA HAPA

 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 baada ya kuunganisha vyama vya TANU na ASP. Tangu kuanzishwa kwake, nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama Taifa imeshikwa na viongozi mbalimbali kama:-

1. Pius Msekwa (1977–1981)
2. Balozi Daudi Mwakawago (1981–1984)
3. Rashid Kawawa (1982–1990)
4. Horace Kolimba (1990–1995)
5. Dk. Lawrence Gama (1995–1997)
6. Philip Mangula (1997–2007)
7. Yusuf Makamba (2007–2011)
8. Wilson Mukama (2011–2012)
9. Abdulrahman Kinana (2012–2018)
10. Dk. Bashiru Ally (2018–2021)
11. Daniel Chongolo (2021–2023)
12. Dk. Emmanuel Nchimbi (2024–2025)
13. Dk. Asha-Rose Migiro (2025–sasa)




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages