Kamati Nne (4) za Kudumu za Bunge zitaanza Vikao vyake Jumatatu, tarehe 3 Agosti, 2026 katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Kamati hizo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC).
Your Ad Spot
Aug 1, 2026
KAMATI 4 ZA BUNGE KUANZA VIKAO JUMATATU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇