LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 20, 2026

RAIS SAMIA ABARIKI KUANZA UJENZI WA RELI YA SGR YA TABORA=KIGOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) mkoani Kigoma leo, tarehe 20 Julai 2026.


Mradi huo unatarajiwa kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria pamoja na mizigo, kuimarisha biashara, kuchochea ukuaji wa uchumi na kuongeza fursa za uwekezaji katika Mkoa wa Kigoma na maeneo ya ukanda wa Magharibi.









 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages