LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2026

CHUO CHA MIPANGO CHAGEUZA NYUMBA ZA UDONGO ZA KIJIJI KUWA ZA KISASA


Makamu Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP)-Taaluma, Profesa Provident Dimoso akielezea jinsi chuo hicho kilivyofanya utafiti katika Kijiji kilichokuwa na nyumba zisizofaa na kufyatua tofali za kuchoma na kujenga nyumba zinazowafanya wananchi wa kijiji hicho kuishi kwa raha na afya njema. Prof. Dimoso alipokuwa akielezea kuhusu tafiti mbalimbali wanazofanya kuwaletea maendeleo wananchi vijijini katika mahojiano yaliyofanyika Makao Makuu ya IRDP jijini Dodoma Juni 30, 2026.


 Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani katika Chuo cha Mipango Dodoma.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages