LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2026

WANAOTETEA AMANI SI MACHAWA - ASKOFU CHANDE


 

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), Dkt. Evance Chande amesema kuwa kutetea amani ya Nchi si Uchawa kama inavyodaifa na baadhi ya watu wasioitakia mema Tanzania.

Pamoja na mambo mengine, Dkt. Chande ameyasema hayo alipokuwa akihubiri katika Ibada ya Jumapili katika Kanisa lake lililopo Ipagala, jijini Dodoma Juni 28, 2026.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages