LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 6, 2026

RAIS SAMIA AHUTUBIA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UCHUMI NCHINI URUSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Kongamano la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF’26) linalofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa ExpoForum Convention Center nje kidogo ya Jiji la St. Petersburg nchini Urusi, tarehe 05 Juni, 2026.


Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin akihutubia viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Kongamano la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF’26) 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Kongamano hilo.


Viongozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Kongamano la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF’26).









 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages