LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 23, 2026

MWANYIKA ATAKA WAWEKEZAJI KUTOA BARA LA ASIA WANAOKATA MITI BILA KUPANDA WABANWE


Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni leo Juni 23, 2026, kwamba haioni haja ya kuweka masharti kwa Wafanyabiashara wanaovuna miti ili wachangie kwenye upandaji wa miti au Mfuko wa TFS.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages