Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini maelezo ya Afisa wa Bunge, Debora Sanja kuhusu shughuli za Bunge katika Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma Juni 22, 2026. Maadhimisho hayo yanahitimishwa kesho Juni 23.2026.


Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini maelezo ya Afisa wa Bunge, Jeremiah Wambura kuhusu shughuli za Bunge katika Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma Juni 22, 2026. Maadhimisho hayo yanahitimishwa kesho Juni 23.2026.
Afisa wa Bunge, Debora Sanja akitoa maelezo kwa wananchi kuhusu shguli za bunge hilo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203







No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇