Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akiwasilisha bungeni Dodoma Aprili 16, 2026, taarifa ya makadirio ya Mapato na Matumizi ya ofisi hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027.
Ofisi hiyo imeomba matumizi ya sh. bil. 144.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇