LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 15, 2026

MAVUNDE AFUTA LESENI 40 ZA MADINI, APIGA MARUFUKU UVAMIZI HOLELA MAENEO YA MADINI

Waziri wa Madini Anthony Mavunde ametangaza kufuta leseni 40 za madini ambazo wawekezaji wake wamekiuka sheria na kanuni. Aidha, Mavunde amepiga marufuku uvamizi wa maeneo ya madini kwa wasio na leseni na kwamba watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria. Mavunde ameeleza uamuzi huo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Aprili 15,2026


Baadhi ya maafisa wa Wizara ya Madini.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages