LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 14, 2026

MARIRTA AWAPAMBANIA WANANCHI WA LONGIDO KUPATA UMEME

Mbunge wa Viti Maalumu, Marirta Gido Kivunge aihoji Serikali bungeni kwamba lini itakamilisha miradi ya umeme katika baadhi ya vitongoji na vyanzo maji wilayani Longido mkoani Arusha? Ameji hivyo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 13, 2026.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages