LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 6, 2026

VIJANA WATAKIWA KUWA WABUNIFU KUTUMIA MAJI YA ZIWA VICTORIA KIUCHUMI

Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria,Renatus James Shinhu ametoa wito kwa vijana kuwa wabunifu kutumia kiuchumi maji ya ziwa Victoria alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Machi 6, 2026, kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa miradi inayosimamiwa na bodi hiyo kwa mwaka 2025/26


Wanahabai wakiwa kayika mkuyano huo,




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages