Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Maji na Mazingira, ambaye pia ni Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga akiongoza kikao cha maandalizi ya Bajeti ya Wizara ya Maji itakayowasilishwa katika Bajeti Kuu ya Serikali inayotarajiwa kufanyika katika Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 linaloanza Jumanne Machi 31, 2026 bungeni Dodoma.
Kikao hicho ambacho pia kilihudhuriwa na Waziri wa Maji,
Jumaa Aweso kimefanyika leo Machi 26, 2026 kwenye Ukumbi wa
Philip Marmo bungeni Dodoma.
Mjumbe wa kamati hiyo, Mhandisi Mwanaisha Ulenge akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Sehemu ya maafisa wa wizara hiyo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA- 0754264203
Sehemu ya maafisa wa wizara hiyo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA- 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇