Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema kuwa idadi kubwa ya majeruhi wanaofika MOI kupata tiba ni wa ajali zinazosababishwa na bodaboda ikifuatiwa na ajali za mabasi.
Ameyasema hayo alipokuwa akielezea mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma leo Machi 2, 2026, kuhusu mafanikio lukuki ya Taasisi hiyo yaliyopatikana wakati Awamu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan.




No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇