LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 18, 2026

UONGOZI WA BUNGE WAJIFUNGIA ZANZIBAR KUJINOA ZAIDI KUHUSU UONGOZI WA KIMKAKATI WA SHUGHULI ZA BUNGE

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uongozi, Ndg. Kadari Singo, akiwasilisha mada kuhusu Uongozi wa kimkakati katika Uendeshaji wa Shughuli za Bunge wakati wa mafunzo kwa Kamati ya Uongozi, Tume ya Utumishi wa Bunge na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanyika  Februari 17, 2026 katika Ofisi ndogo za Bunge, Tunguu-Zanzibar.


Mafunzo hayo ya siku tatu (3)  yanategemewa kuhitimishwa  Februari 18, 2026.

Viongozi mbalimbali wa Bunge wameshiriki katika mafunzo hayo akiwemo Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu, Naibu Spika, Mhe. Daniel Sillo na Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard.

Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (katikati), Naibu Spika, Mhe. Daniel Sillo (kushoto) na Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard.


Mwenyekiti wa Bunge, Deodatus Mwanyika

Mwenyekiti wa Bunge, Najma Giga.
Mwenyekiti wa Bunge, Cecilia Pareso.

Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Dkt. Doto Biteko.











 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages