Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka Serikali kupandisha hadhi shule tatu za Sekondari katika jimbo la Njombe Mjini.
Mwanyika alitoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Februari 5, 2026.
About CCM Blog INVITEE
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇